Dominika ya 2 ya Majilio
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa. 40:1-5, 9-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 85:8-13Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako, utupe wokovu wako.
Na nisikie atakavyosema Mungu Bwana,
Maana atawaambia watu wake amani,
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao,
Utukufu ukae katika nchi yetu.
K. Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako, utupe wokovu wako.
Fadhili na kweli zimekutana,
Haki na amni zimebusiana.
Kweli imechipuka katika nchi,
Haki imechungulia kutoka mbinguni.
K. Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako, utupe wokovu wako.
Naam, Bwana atatoa kilicho chema,
Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Haki itakwenda mbele zake,
Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
K. Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako, utupe wokovu wako.
Somo la Pili
2Pet 3:8-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 3:4, 6Itengenezeni njia ya Bwana, yanyosheni mapito yake. Na wote wenye mwili watauona wokovu wa Mungu
Aleluya.
Injili
Mk 1:1-8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni