Ijumaa ya 34 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ufu 20:1-4, 11-21:2Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 84:2-5, 7Mungu anakuwa pamoja na watu
Nafsi yangu imezionea shauku nyua za Bwana,
Naam, na kuzikondea. Moyo wangu na mwili wangu Vinamlilia Mungu aliye hai.
K. Mungu anakuwa pamoja na watu
Shomoro naye ameona nyumba, Na mbayuwayu amejipatia kioto,
Alipoweka makinda yake, Kwenye madhabahu zako,
Ee Bwana wa majeshi, Mfalme wangu na Mungu wangu.
K. Mungu anakuwa pamoja na watu
Heri wakaao nyumbani mwako,
Wanakuhimidi daima.
Heri ambaye nguvu zake zatoka kwako,
K. Mungu anakuwa pamoja na watu
Huendelea toka nguvu hata nguvu,
Huonekana Sayuni kila mmoja mbele za Mungu.
K. Mungu anakuwa pamoja na watu
Shangilio la Injili
Zab 19:8Amri ya Bwana ni safi, huyatia macho nuru.
Aleluya.
Injili
Lk 21:29-33Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni