Alhamisi ya 34 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ufu 18:1–2, 21–23; 19:1–3, 9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 100Heri walioalikwa karamu ya arusi ya Mwanakondoo.
Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote,
Mtumikieni Bwana kwa furaha;
Njoni mbele zake kwa kuimba.
K. Heri walioalikwa karamu ya arusi ya Mwanakondoo.
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake;
Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
K. Heri walioalikwa karamu ya arusi ya Mwanakondoo.
Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru;
Nyuani mwake kwa kusifu;
Mshukuruni, lihimidini jina lake.
K. Heri walioalikwa karamu ya arusi ya Mwanakondoo.
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema;
Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
K. Heri walioalikwa karamu ya arusi ya Mwanakondoo.
Shangilio la Injili
Zab 25:4, 5Ee Bwana, unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako.
Aleluya.
Injili
Lk 21:20-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni