Ijumaa ya 31 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Flp 3:17—4:1Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 122:1-5Nalifurahi walipo niambia, na twende nyumbani kwa Bwana
Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa Bwana.
Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
K. Nalifurahi walipo niambia, na twende nyumbani kwa Bwana
Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,
Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za Bwana;
K. Nalifurahi walipo niambia, na twende nyumbani kwa Bwana
Ushuhuda kwa Israeli, Walishukuru jina la Bwana.
Maana huko viliwekwa viti vya hukumu,
Viti vya enzi vya mbari ya Daudi.
K. Nalifurahi walipo niambia, na twende nyumbani kwa Bwana
Shangilio la Injili
Yn 14:23Mtu akinipenda, atalishika neno langu,
na Baba yangu atampenda, nasi tutakuja kwake.
Aleluya
Injili
Lk 16:1-8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni