Kumbukumbu ya Mt. Karoli Boromeo, Askofu
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Flp 2:12-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 27:1,4,13-14Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu,
Nimwogope nani?
Bwana ni ngome ya uzima wangu,
Nimhofu nani?
K. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Neno moja nimelitaka kwa Bwana,
Nanlo ndilo nitakalolitafuta,
Nikae nyumbani mwa Bwana
Siku zote za maisha yangu.
Niutazame uzuri wa Bwana,
Na kutafakari hekaluni mwake.
K. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana
Katika nchi ya walio hai.
Umngoje Bwana, uwe hodari,
Upige moyo konde, naam, umngoje Bwana.
K. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Shangilio la Injili
Lk 8:15Wanabarikiwa wale ambao kwa unyofu na wema wa mioyo yao hulisikia neno la Mungu na kulishika.
Aleluya.
Injili
Lk 14:25-33Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni