Jumamosi ya 24 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Kor 15:35–37, 42–49Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 56:9–13Nienende mbele za Mungu katika nuru ya walio hai.
Ndipo adui zangu watarudi nyuma siku ile niitapo.
Neno hili najua kuwa Mungu yu upande wangu.
K. Nienende mbele za Mungu katika nuru ya walio hai.
Kwa msaada wa Mungu nitalisifu neno lake.
Kwa msaada wa Bwana nitalisifu neno lake.
Nimemtumaini Mungu, sitaogopa
Mwanadamu atanitenda nini?
K. Nienende mbele za Mungu katika nuru ya walio hai.
Ee Mungu, nadhiri zako zi juu yangu;
Nitakutolea dhabihu za kushukuru.
Maana umeniponya nafsi yangu na mauti;
Je! Hukuizuia miguu yangu isianguke?
Ili nienende mbele za Mungu
Katika nuru ya walio hai.
K. Nienende mbele za Mungu katika nuru ya walio hai.
Shangilio la Injili
2Tim 1:10Mwokozi wetu Yesu Kristo alibatili mauti, na kuufunua uzima na kutokuharibika kwa Injili.
Aleluya.
Injili
Lk 8:4–15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni