Jumatano ya 19 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Eze 9:1-7; 10:18-22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 113:1-6Utukufu wa Bwana ni juu ya mbingu.
Aleluya. Enyi watumishi wa Bwana, sifuni,
Lisifuni jina la Bwana.
Jina la Bwana lihimidiwe Tangu leo na hata milele.
K. Utukufu wa Bwana ni juu ya mbingu.
Toka maawio ya jua hata machweo yake Jina la Bwana husifiwa.
Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote,
Na utukufu wake ni juu ya mbingu.
K. Utukufu wa Bwana ni juu ya mbingu.
Ni nani aliye mfano wa Bwana,
Mungu wetu aketiye juu;
Anyenyekeaye kutazama, Mbinguni na duniani?
K. Utukufu wa Bwana ni juu ya mbingu.
Injili
Mt 18:15-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni