Kumbukumbu ya Mt. Klara, Mtawa na Mwanzilishi wa S
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Eze 2:8–3:4Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:14, 24, 72, 103, 111, 131Mausi yako ni matamu sana kwangu.
Nimeifurahia njia ya shuhuda zako,
Kana kwamba ni mali mengi.
Shuhuda zako nazo ndizo furaha yangu,
Na washauri wangu.
K. Mausi yako ni matamu sana kwangu.
Sheria ya kinywa chako ni njema kwangu,
Kuliko maelfu ya dhahabu na fedha.
Mausia yako ni matamu sana kwangu,
Kupita asali kinywani mwangu.
K. Mausi yako ni matamu sana kwangu.
Shuhuda zako nimezifanya urithi wa milele,
Maana ndizo changamko la moyo wangu.
Nalifunua kinywa changu nikakweta,
Maana naliyatamani maagizo yako.
K. Mausi yako ni matamu sana kwangu.
Shangilio la Injili
Yn 17:17Neno lako ndiyo kweli, Ee Bwana, ututakase kwa ile kweli.
Aleluya.
Injili
Mt 18:1–5, 10, 12, 14Mwaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia, mmoja akampotea, je! Hawaachi wale tisa na tisini, akaenda milimani, na kumtafuta yule aliyepotea? Vivyo hivyo haipendezwi mbele za Baba yenu aliye mbinguni kwamba mmoja wa wadogo hawa apotee.
Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni