Sherehe ya Kuzaliwa Mt. Yohane Mbatizaji
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Isa 49:1–6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 139:1–3, 13–15Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa.
Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu;
Umelifahamu wazo alngu toke mbali.
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu,
Umeelewa na njia zangu zote.
K. Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa.
Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu,
Uliniunga tumboni mwa mama yangu.
Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa
Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha.
Matendo yako ni ya ajabu.
K. Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa.
Na nafsi yangu yajua sansa,
Mifupa yangu haikusitirika kwako,
Nilipoumbwa kwa siri,
Nilipoungwa kwa ustadi pande za chini za nchi.
K. Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa.
Somo la Pili
Mdo 13:22–26Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 1:76Nawe, mtoto, utaitwa nabii wake aliye juu. Utatangulia mbele za uso wa Bwana, umtengenezee njia zake.
Aleluya.
Injili
Lk 1:57–66, 80Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni