Alhamisi ya 12 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2 Fal 24:8-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 79:1-5, 8-9Ee Mungu, mataifa wameingia katika urithi wako,
Wamelinajisi hekalu lako takatifu.
Wamefanya Yerusalemu chungu chungu.
Wameziacha maiti za watumishi wako Ziwe chakula cha ndege wa angani.
Na miili ya watauwa wako Iwe chakula cha wanyama wa nchi.
(K)Utuokoe Ee Bwana, kwa ajili yaa jina lako.
Wamemwaga damu yao kama maji Pande zote za Yerusalemu, Wala hapakuwa na mzishi.
Tumekuwa lawama kwa jirani zetu, Mzaha na dhihaka kwao wanaotuzunguka.
Ee Bwana, hata lini? Utaona hasira milele? Wivu wako utawaka kama moto?
(K)Utuokoe Ee Bwana, kwa ajili yaa jina lako.
Usikumbuke juu yetu maovu ya baba zetu,
Rehema zako zije kutulaki hima,
Kwa maana tumedhilika sana.
(K)Utuokoe Ee Bwana, kwa ajili yaa jina lako.
Ee Mungu wa wokovu wetu, utusaidie, Kwa ajili ya utukufu wa jina lako.
Utuokoe, utughofiri dhambi zetu, Kwa ajili ya jina lako.
(K)Utuokoe Ee Bwana, kwa ajili yaa jina lako.
Shangilio la Injili
Yn 14:23Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
Aleluya
Injili
Mt 7:21-29Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni