Jumatatu ya 12 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2 Fal 17:5-8, 13-15a, 18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 60:1-3, 10-11Ee Mungu, umetutupa na kututawanya, Umekuwa na hasira, uturudishe tena.
(K)Utuokoe kwa mkono wako wa kuume, utuitikie
Umeitetemesha nchi na kuipasua, Upaponye palipobomoka, maana inatikisika.
Umewaonyesha watu wako mazito, Na kutunywesha mvinyo ya kutuyumbisha.
(K)Utuokoe kwa mkono wako wa kuume, utuitikie
Ee Mungu, si Wewe uliyetutupa? Wala, Ee Mungu, hutoki na majeshi yetu?
Utuletee msaada juu ya mtesi, Maana wokovu wa binadamu haufai.
(K)Utuokoe kwa mkono wako wa kuume, utuitikie
Shangilio la Injili
Ebr 4:12Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu,tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho
Aleluya
Injili
Mt 7:1-5Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni