Dominika ya 12 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Zek 12:10-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 63:1-5, 7-8Ee Mungu, Mungu wangu, nitakutafuta mapema,
Nafsi yangu inakuonea kiu, Mwili wangu wakuonea shauku,
Katika nchi kame na uchovu, isiyo na maji.
(K)Ee Mungu, Mungu wangu, nitakutafuta mapema, Nafsi yangu inakuonea kiu.
Ndivyo nilivyokutazama katika patakatifu, Nizione nguvu zako na utukufu wako.
Maana fadhili zako ni njema kuliko uhai; Midomo yangu itakusifu.
(K)Ee Mungu, Mungu wangu, nitakutafuta mapema, Nafsi yangu inakuonea kiu.
Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa jina lako nitaiinua mikono yangu.
Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono; Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.
(K)Ee Mungu, Mungu wangu, nitakutafuta mapema, Nafsi yangu inakuonea kiu.
Maana Wewe umekuwa msaada wangu, Na uvulini mwa mbawa zako nitashangilia.
Nafsi yangu inakuandama sana; Mkono wako wa kuume unanitegemeza.
(K)Ee Mungu, Mungu wangu, nitakutafuta mapema, Nafsi yangu inakuonea kiu.
Somo la Pili
Gal 3:26-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 6:63, 68Bwana, maneno yako ni roho tena ni uzima; Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya
Injili
Lk 9:18-24Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni