Jumatatu ya 1 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1 Sam 1:1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 116:12-14, 17-19Nitakutolea dhabihu ya kushukuru.
Nimrudishie Bwana nini
Kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Nitakipokea kikombe cha wokovu;
Na kulitangaza jina la Bwana;
K. Nitakutolea dhabihu ya kushukuru.
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana,
Naam, mbele ya watu wake wote.
Nitakutolea dhabihu ya kushukuru;
Na kulitangaza jina la Bwana;
K. Nitakutolea dhabihu ya kushukuru.
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana,
Naam, mbele ya watu wake wote.
Katika nyua za nyumba ya Bwana,
Ndani yako, Ee Yerusalemu.
K. Nitakutolea dhabihu ya kushukuru.
Injili
Mk 1:14-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni