Jumanne ya 31 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 12:5-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 131Moyo wangu uwe na Amani kwako, Ee Bwana.
Bwana, moyo wangu hauna kiburi,
Wala macho yangu hayainuki.
Wala sijishughulishi na mambo makuu,
Wala na mambo yashindayo nguvu zangu.
K. Moyo wangu uwe na Amani kwako, Ee Bwana.
Hakika nimeituliza nafsi yangu,
Na kuinyamazisha.
Kama mtoto aliyeachishwa
Kifuani mwa mama yake;
Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu.
K. Moyo wangu uwe na Amani kwako, Ee Bwana.
Ee Israeli, umtarajie Bwana,
Tangu leo n ahata milele.
K. Moyo wangu uwe na Amani kwako, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
Zab 147:12,15Msifu Bwana, Ee Yerusalemu, huipeleka amri yake juu ya nchi.
Aleluya.
Injili
Lk 14:15-24Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni