Kumbukumbu ya Mtakatifu Karoli Boromeo (Askofu)
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 11:29-36Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 69:29-30, 32-33, 35-36Kwa wingi wa fadhili zako unijibu Ee Mungu.
Nami niliye maskini na mtu wa huzuni,
Mungu, wokovu wako utaniinua.
Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo,
Nami nitamtukuza kwa shukrani.
K. Kwa wingi wa fadhili zako unijibu Ee Mungu.
Walioonewa watakapoona watafurahi;
Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji,
Wala hawadharau wafungwa wake.
K. Kwa wingi wa fadhili zako unijibu Ee Mungu.
Maana Mungu ataiokoa Sayuni, na kuijenga miji ya Yuda,
Na watu watakaa ndani yake na kuimiliki.
Wazao wa watumishi wake watairithi,
Nao walipendao jina lake watakaa humo.
K. Kwa wingi wa fadhili zako unijibu Ee Mungu.
Injili
Lk 14:12-14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni