Jumamosi ya 29 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 8:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 24:1-6Ndicho kizazi cha wakutafutao uso wako, Ee Bwana.
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana,
Dunia na wote wakaao ndani yake.
Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari,
Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
K. Ndicho kizazi cha wakutafutao uso wako, Ee Bwana.
Ni nani atakayepanda katika mlima wa Bwana?
Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?
Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe,
Asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili.
K. Ndicho kizazi cha wakutafutao uso wako, Ee Bwana.
Atapokea baraka kwa Bwana,
Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.
Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao,
Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
K. Ndicho kizazi cha wakutafutao uso wako, Ee Bwana.
Injili
Lk 13:1-9Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni