Ijumaa ya 29 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 7:18-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:66, 76-77, 93-94Unifundishe akili na maarifa, Ee Bwana.
Unifundishe akili na maarifa,
Maana nimeyaamini maagizo yako.
K. Unifundishe akili na maarifa, Ee Bwana.
Nakuomba, fadhili zako ziwe faraja kwangu,
Sawasawa na ahadi yako kwa mtumishi wako.
K. Unifundishe akili na maarifa, Ee Bwana.
Rehema zako zinijie nipate kuishi,
Maana sheria yako ni furaha yangu.
K. Unifundishe akili na maarifa, Ee Bwana.
Hata milele sitayasahau maagizo yako,
Maana kwa hayo umenihuisha.
K. Unifundishe akili na maarifa, Ee Bwana.
Mimi ni wako, uniokoe,
Kwa maana nimejifunza mausia yako.
K. Unifundishe akili na maarifa, Ee Bwana.
Injili
Lk 12:54-59Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni