Jumatano ya 28 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 2:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 62:1-2, 5-6, 8Bwana humlipa kila mtu sawasawa na haki yake.
Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake kwa kimya,
Wokovu wangu hutoka kwake.
Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu,
Ngome yangu, sitatikisika sana.
K. Bwana humlipa kila mtu sawasawa na haki yake.
Nafsi yangu, umngoje Mungu peke yake kwa kimya.
Tumaini langu hutoka kwake.
Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu,
Ngome yangu, sitatikisika sana.
K. Bwana humlipa kila mtu sawasawa na haki yake.
Enyi watu, mtumainini sikuzote,
Ifunueni mioyo yenu mbele zake;
Mungu ndiye kimbilio letu.
K. Bwana humlipa kila mtu sawasawa na haki yake.
Injili
Lk 11:42-46Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni