Kumbukumbu ya Mt. Teresia wa Avila
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 1:16-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 19:1-4Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu.
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu,
Na anga laitangaza kazi ya mikono yake.
Mchana husemezana na mchana,
Usiku hutolea usiku maarifa.
K. Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu.
Hakuna lugha wala maneno,
Sauti yao haisikilikani.
Sauti yao imeenea duniani mwote,
Na maneno yao hata miisho ya ulimwengu.
K. Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu.
Shangilio la Injili
Zab 19:8Amri ya Bwana ni safi, huyatia macho nuru.
Aleluya.
Injili
Lk 11:37-41Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Petro Joseph · 15 Oktoba 2019
Hapa somo hili linatufundisha nini