Dominika ya 22 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ybs 3:17-20, 28-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 68:3-6, 9-10Ee Mungu, Kwa wema wako uliwahifadhi walioonewa
Wenye haki watafurahi,
Na kuushangilia uso wa Mungu,
Naam, hupiga kelele kwa furaha.
Mwimbieni Mungu, lisifuni jina lake,
Furahini katika Bwana, shangilieni mbele zake.
K. Ee Mungu, Kwa wema wako uliwahifadhi walioonewa
Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane,
Mungu katika kao lake takatifu.
Mungu huwakalisha wapweke nyumbani;
Huwatoa wafungwa wakae hali ya kufanikiwa;
K. Ee Mungu, Kwa wema wako uliwahifadhi walioonewa
Ee Mungu, ulinyesha mvua ya neema;
Urithi wako ulipochoka uliutia nguvu.
Kabila yako ilifanya kao lake huko;
Ee Mungu, kwa wema wako uliwaruzuku walioonewa.
K. Ee Mungu, Kwa wema wako uliwahifadhi walioonewa
Somo la Pili
Ebr 12:18-19, 22-24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 11:25Ninakushukuru Baba, Bwana wa mbingu na nchi, Kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, Ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya
Injili
Lk 14:1, 7-14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni