Jumamosi ya 21 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1The 4:9-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1, 7-9Atawahukumu mataifa kwa adili
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Atawahukumu mataifa kwa adili
Bahari na ivume na vyote viijazavyo,
Ulimwengu nao wanaokaa ndani yake.
Mito na ipige makofi,
Milima na iimbe pamoja kwa furaha.
K. Atawahukumu mataifa kwa adili
Mbele za Bwana;
Kwa maana anakuja aihukumu nchi.
Atauhukumu ulimwengu kwa haki,
Na mataifa kwa adili.
K. Atawahukumu mataifa kwa adili
Injili
Mt 25:14-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni