Ijumaa ya 4 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo. 13:26-33Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 2:6-11Ndiwe Mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Nami nimemweka mfalme wangu
Juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.
Nitaihubiri amri; Bwana aliniambia,
Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
K. Ndiwe Mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako,
Na miisho ya dunia kuwa milki yako.
Utawaponda kwa fimbo ya chuma,
Na kuwavunja kama chombo cha mfinyanzi.
K. Ndiwe Mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Na sasa, enyi wafalme, fanyeni akili,
Enyi waamuzi wa dunia, mwadibiwe.
Mtumikieni Bwana kwa kicho,
Shangilieni kwa kutetemeka.
K. Ndiwe Mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Shangilio la Injili
Yn. 20: 29Wewe Toma, umesadiki kwa kuwa umeniona, wa heri wale wasioona, wakasadiki.
Aleluya.
Injili
Yn. 14:1-6Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni