Alhamisi ya 4 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo. 13:13-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 89:1-2, 20-21, 26-27Fadhili zako, ee Bwana, nitaziimba milele.
Kwa kinywa change
Nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Maana nimesema, FAdhili zitajengwa milele;
Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
K. Fadhili zako, ee Bwana, nitaziimba milele.
Nimemwona Daudi, mtumishi wangu,
Nimempaka mafuta yangu matakatifu.
Ambaye mkono wangu utakuwa thabiti kwake,
Na mkono wangu utamtia nguvu.
K. Fadhili zako, ee Bwana, nitaziimba milele.
Yeye ataniita, Wewe baba yangu,
Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu.
Nami nitamjalia kuwa mzaliwa wangu wa kwanza,
Kuwa juu sana kuliko wafalme wa dunia.
K. Fadhili zako, ee Bwana, nitaziimba milele.
Shangilio la Injili
Yn. 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, wao wanifuata.
Aleluya.
Injili
Yn. 13:16-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni