Sikukuu ya UTATU MTAKATIFU
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mit 8:22-31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 8:3-8Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, Mwezi na nyota ulizoziratibisha;
Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie?
(K)Wewe, Mungu, Bwana wetu Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote
Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na heshima;
Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
(K)Wewe, Mungu, Bwana wetu Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote
Kondoo, na ng'ombe wote pia; Naam, na wanyama wa kondeni;
Ndege wa angani, na samaki wa baharini; Na kila kipitacho njia za baharini.
(K)Wewe, Mungu, Bwana wetu Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote
Somo la Pili
Rum 5:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Ufu. 1:8Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu,
Mungu ambaye yupo, aliyekuwako na atakayekuja.
Aleluya
Injili
Yn 16:12-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni