Ijumaa ya 7 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Yak 5:9-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 103:1-4, 8-9, 11-12Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, Wala usizisahau fadhili zake zote.
(K)Bwana amejaa huruma na neema.
Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote,
Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema,
(K)Bwana amejaa huruma na neema.
Bwana amejaa huruma na neema, Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.
Yeye hatateta sikuzote, Wala hatashika hasira yake milele.
(K)Bwana amejaa huruma na neema.
Maana mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, Kadiri ile ile rehema zake ni kuu kwa wamchao.
Kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, Ndivyo alivyoweka dhambi zetu mbali nasi.
(K)Bwana amejaa huruma na neema.
Shangilio la Injili
Yn 17: 17b, 17aNeno lako ndiyo kweli,
Uwatakase kwa ile kweli;
Aleluya
Injili
Mk 10:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni