Alhamisi ya 7 ya mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Yak 5:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 49:13-19Hiyo ndiyo njia yao, ujinga wao, Nao walioko baada yao huyaridhia maneno yao.
Kama kondoo wamewekwa kwenda kuzimu, Na mauti itawachunga;
(K)Heri walio maskini wa roho, maana ufalme wa mbinguni ni wao
Watu wanyofu watawamiliki asubuhi; Umbo lao litachakaa, kao lao ni kuzimu.
Bali Mungu atanikomboa nafsi yangu, Atanitoa mkononi mwa kuzimu, maana atanikaribisha.
(K)Heri walio maskini wa roho, maana ufalme wa mbinguni ni wao
Usiogope mtu atakapopata utajiri, Na fahari ya nyumba yake itakapozidi.
Maana atakapokufa hatachukua cho chote; Utukufu wake hautashuka ukimfuata.
(K)Heri walio maskini wa roho, maana ufalme wa mbinguni ni wao
Ajapojibariki nafsi yake alipokuwa hai, Na watu watakusifu ukijitendea mema,
Atakwenda kwenye kizazi cha baba zake Hawataona nuru hata milele.
(K)Heri walio maskini wa roho, maana ufalme wa mbinguni ni wao
Shangilio la Injili
1 The 2:13Mlipopata lile neno la ujumbe la Mungu mlilolisikia kwetu, mlilipokea si kama neno la wanadamu, bali kama neno la Mungu; na ndivyo lilivyo kweli kweli;
Aleluya
Injili
Mk 9:41-50Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni