Jumanne ya 3 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 10:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 40:1, 3, 6-7, 10Tazama nimekuja, kuyafanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Nalimngoja Bwana kwa saburi,
Akaniinamia akakisikia kilio changu.
Akatia wimbo mpya kinywani mwangu,
Ndio sifa zake Mungu wetu.
K. Tazama nimekuja, kuyafanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo,
Masikio yangu umeyazibua,
Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja
K. Tazama nimekuja, kuyafanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Sikusitiri haki yako moyoni mwangu;
Nimetangaza uaminifu wako na wokovu wako.
Sikuficha fadhili zako wala kweli yako Katika kusanyiko kubwa.
K. Tazama nimekuja, kuyafanya mapenzi yako, Ee Bwana.
Injili
Mk 3:31-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni