Jumatatu baada ya Epifania
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Yoh. 3:22-4:6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 2:7-8, 10-11Nitakupa mataifa kuwa urithi wako.
Nitaihubiri amri; Bwana aliniambia,
Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako,
Na miisho ya dunia kuwa milki yako.
K. Nitakupa mataifa kuwa urithi wako.
Na sasa, enyi wafalme, fanyeni akili,
Enyi waamuzi wa dunia, mwadibiwe.
Mtumikieni Bwana kwa kicho;
Shangilieni kw akutetemeka.
K. Nitakupa mataifa kuwa urithi wako.
Shangilio la Injili
Mt. 4:16Watu wale waliokaa katika giza wameona mwanga mkuu, Nao waliokaa katika nchi na uvuli wa mauti mwanga umewazukia.
Aleluya.
Injili
Mt. 4:12-17, 23-25Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni