Jumamosi Kipindi cha Noeli
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1Yon. 3:11-21Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 100Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote.
Mtumikieni Bwana kwa furaha,
Njoni mbele zake kwa kuimba;
K. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote.
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake;
Tu watu wake na kondoo wa malisho yake.
K. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote.
Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru;
Nyuani mwake kwa kusifu;
Mshukuruni, lihimidini jina lake;
K. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote.
Kwa kuwa ndiye mwema;
Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
K. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote.
Shangilio la Injili
Ebr. 1:1-2Baada ya Mungu kusema zamani mara nyingi, na kwa namna nyingi na baba zetu kwa kinywa cha manabii, Siku hizi zilizo za mwisho amesema nasi kwa kinywa cha Mwana.
Aleluya.
Injili
Yn. 1:43-51Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni