SHEREHE YA KUZALIWA BWANA
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Isa. 52:7-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 98:1-6Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu.
Bwana ameufunua wokovu wake,
Machoni pa mataifa amedhihirisha haki yake,
Amezikumbuka rehema zake,
Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
K. Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu.
Miisho yote ya dunia imeuona,
Wokovu wa Mungu wetu,
Mshangilieni Bwana nchi yote,
Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
K. Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu.
Mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi,
Kwa kinubi na sauti ya zaburi.
Kwa panda na sauti ya baragumu,
Shangilieni mbele za Mfalme, Bwana.
K. Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu.
Somo la Pili
Ebr. 1:1 – 6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
ShangalioSiku takatifu imetung’aria: enyi mataifa njoni mkamwabudu Bwana, kwa sababu leo mwanga mkubwa umeshuka duniani.
Aleluluya.
Injili
Yn. 1:1-18Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni