KUMBUKUMBU YA MT. SESILIA
· Mwaka B
Somo la Kwanza
Ufu. 5:1 – 10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 149:1 – 6, 9Ulitufanya kuwa wafalme na makuhani.
Aleluya.
Mwimbieni Bwana mwimbo mpya,
Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
Israeli na amfuhie Yeye aliyemfanya,
Wana wa SAyuni na wamshangilie mfalme wao.
K. Ulitufanya kuwa wafalme na makuhani.
Na walisifu jina lake kwa kucheza,
Kwa matari na kinubi wamwimbie.
Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake,
Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
K. Ulitufanya kuwa wafalme na makuhani.
Watauwa na waushangilie utukufu,
Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.
Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao,
Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote.
Aleluya.
K. Ulitufanya kuwa wafalme na makuhani.
Shangilio la Injili
Yn. 17:17Neno lako ndiyo kweli, Ee Bwana, ututakase kwa ile kweli.
Aleluya.
Injili
Lk. 19:41-44Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni