Jumamosi. 21 Machi. 2026

Sala

Sala ya Kutubu

Mungu wangu, nimetubu sana dhambi zangu, kwani ndiwe mwema ndiwe mwenye kupendeza, wachukizwa na dhambi. Basi sitaki kukosa tena, nitafanya kitubio, naomba neema zako nipate kurudi.

Maoni

Kanisius Ngalowoka

Samahan kitubio ni mbaka niende kanisani Sivyo?

David Shebughe

Lazima ukutane na padre

Astalico Moreku

Hapana we tubu from even home

Esta Kayungilo

Amina

LEWIS NANGUNYE

Popote ulipo bora uwe na imani

Manfred Kalelwa

Vipi kuusu hatua za kula mkate

Dotizo juliuss Julius

Nitakuwa na pata masomo ya kilasiku

Ernesto Chengula

Naomb nikumbushwe sala wakati wa kitubio

Gregory Nyando

Sala za kutubu wakati wa kitubio in ngapi?

Vicklina Ponela

Maneno ya kusema kabla ya kuungama ni yapi?

PETERKENNEDY OPIYO

Naomba nikumbushwe sala ya kuungama na wakati wa kitubio

Colince Kafuna

Kitubio nzuri na kamili ni Ile ambapo padri yupo kumwakilisha uwepo wa Mungu

Jovitus Adeodatus

Naomba nikumbushwe sala ya kuanza nayo punde nikifika kuungama

GASPER MKELEMI

Naomba nikumbushwe sala zote mwisho ifike ya kuungama

TGNED DELIA

Fanya hive ingia kwa google, andika sala mkatoliki leo, nautapata salazote.

TGNED DELIA

Tumsifu mwana wetu yesu kristo

Esta Kayungilo

Milele amina

Osca Coach

Mungu nimuaminifu,maana bado anatupenda sana.Ndio maana anataka tu tubu dhambi zetu nae atatusamehe?Jina la bwana litukuzwe amin?

JOSEPH JAMES

TWENDE KANISANI

Godfrey Job

Kwenye maboresho. Iwekwe 'Option ya Search' kutafuta .tafadhali

Josephat Martin

Toba ni jambo la nzuri katika kutibu nafsi zilizo jeruhiwa

Abella Daud

Ni nzuri ila natamani kutubu zaid

Jackson

Nilikuwa naomba nitumie muogozo wa sala zote

Jackson

Nilikuwa naomba mnitumie muogozo wa sala zote

Deo Osalia

Nimependezwa

Ingia utoe maoni