Sala ya Asubuhi
Ee Baba yetu Mungu Mkuu, Umenilinda usiku huu, Ninakushukuru kwa moyo, Ee Baba, Mwana na Roho, Nilinde tena siku hii, Niache dhambi nikutii, Naomba sana Baba wee, Baraka yako nipokee, Bikira safi ee Maria, Nisipotee unisimamie, Mlinzi Mkuu Malaika wee, Kwa Mungu wetu niombee, Nitake nitende mema tu, Na mwisho nije kwake juu.
9 Imependwa
10 Maoni

Maoni
Mjukuu wa Mbyallu
Tunashukuru sana kanisa letu la kikatoliki kutuletea biblia mpaka kwenye simu zetuJoseph Marekani
AminaLAMECK NIYIBOGORA
AMINAJohn Sebeya
Asante sana.PETERKENNEDY OPIYO
Ninashukuru sana kanisa letu la kikatoliki kwa kutuletea bibila na sala zote kwenye simu kupitia teknolojia ya sasa.DAVID ELIA
Nami pia ninashukuruTGNED DELIA
Tukiendelea kusoma masomo hii, mungu atatubariki.cosmas kawishe
Nmebarikiwa na sala ya asubuhiEMANUEL GABRIEL
tumkumbuke munguJOSEPH DAHAYE
Namshukuru sana mungu kwa kuona siku hii ya leo na naomba aendelee kunilinda na kuniongoza katika njia ninazopita pia naomba uwalinde ndugu zangu na watu wote kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu kama mwanzo sasa na siku zote na milele.AMINAEmmanuel Asubisye
Asante Mungu kwaajili yangu ,pamoja na familia yangu Amina.DIONIZI MATESO
Namushukuru munguIngia utoe maoni