Jumamosi. 20 Desemba. 2025

Sala

Sala ya Mtakatifu Inyasi

Roho ya Kristu, nitakase Mwili wa Kristu, niokoe Damu ya Kristu, nifurahishe Maji ya ubavu wake Kristu, nioshe Mateso ya Kristu, nguvu nizidishie Ee Yesu mwema unisikilize Katika madonda yako unifiche Usikubali nitengwe nawe Na adui mwovu, unikinge Saa ya kufa kwangu, unite Uniamuru nikusogelee Sifa zako niimbe Na watakatifu wako, milele, milele

Maoni


Ingia utoe maoni