Jumamosi. 21 Machi. 2026

Sala

Salamu Maria

Salamu Maria Umejaa neema Bwana yu nawe Umebarikiwa kuliko wanawake wote Na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa Maria Mtakatifu Mama wa Mungu Utuombee sisi wakosefu Sasa, na saa ya kufa kwetu.

Maoni

Innocent Sella

Ninamshukuru Mungu kwa kunifundisha neno lake (Biblia) kila siku. "Amina."

Livinus Bernardo

Najivunia kuwa mkatoliki

Ingia utoe maoni