Amri za Mungu
2. Usilitaje bure jina la Mungu wako.
3. Shika kitakatifu siku ya Mungu.
4. Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani.
5. Usiue.
6. Usizini,
7. Usiibe.
8. Usiseme uongo.
9. Usitamani mwanamke asiye mke wako.
10. Usitamani mali ya mtu mwingine.
Maoni (4)
DAVID ELIA · 21 Novemba 2024
Tunashika amri hii kweli?
Yohana Eric · 2 Agosti 2026
Amri hizi hawazishiki wote bali wachache ndio wanazishika.
LAMECK NIYIBOGORA · 12 Aprili 2026
haaaaa! kweli nivigumu! tuombe roho mtakatifu atuwezeshe bali bila yeye hatutaweza
Yohana Eric · 2 Agosti 2026
Hapo kweli tuombe loho mtakatifu atujalie japo tukalili amri ya 6 pamoja na 8
Yohana Eric · 2 Agosti 2026
amri hizi nilahisi kuzishika lakini fanya jambo moja tunbu okoka kisha samehe jilinde na matamaniyo ya dunia nakitu chema na kibaya kinajulikana sanatu kiufupi tubu na okoka uone matokeo
Yohana Eric · 2 Agosti 2026
Swali ipi amri uliyo shindwa kutekeleza nikusaidie?