Jumatano. 08 Aprili. 2026

Sala

MATENDO YA FURAHA (Jumatatu na Jumamosi)

1. Malaika Gabrieli anampasha habari Maria kuwa atakuwa Mama wa Mungu. Tumwombe Mungu atujalie unyenyekevu.

2. Maria Mtakatifu anakwenda kumtembelea Elizabeti. Tumwombe Mungu atujalie mapendo ya jirani.

3. Yesu anazaliwa Bethlehemu. Tumwombe Mungu atujalie moyo wa ufukara

4. Yesu anatolewa hekaluni. Tumwombe Mungu atujalie usafi wa moyo.

5. Maria anamkuta Yesu hekaluni. Tumwombe Mungu atujalie kuwatii wakubwa wetu.

Maoni

ekiusi Selestine

Mama bikira maria utuombee sisi wanao na utufikishie maombi yetu kwa mwanao yesu kiristu

Pasco Ikundi

Amina

MARCIANA MASALU

MUNGU anijalie nipate ufauru mzuri kwenye mitihani yangu

MARCIANA MASALU

Tuwe na ushawishi mkubwa kwa watu ili wapende kusari rozari takatifu

MARCIANA MASALU

Tuwe na ushawishi mkubwa kwa watu ili wapende kusari rozari takatifu

Ingia utoe maoni