Baba yetu uliye mbinguni Jina lako litukuzwe Ufalme wako ufike Utakalo lifanyike Duniani kama mbinguni Utupe leo mkate wetu wa kila siku Utusamehe makosa yetu Kama tunavyowasamehe Na sisi waliotukosea Usitutie katika kishawishi Lakini utuopoe maovuni.
Mungu kupitia sala hii naomba uniondolee mabaya yote kweye familia yangu muokoe na mateso mke wangu mjalie kumpatia furaha na majibu ya maswali yake anayojiuliza kisha vunja maagano yote aliyonenewa.bwana sikia maombi yangu
Maoni
JOSHUA MUCHIRI
imenifunzaDonata Musa
Ww imekufunza kafanyaje mpendwaLucas Malley
Utaratibu wa kusali rozariDAVID ELIA
Inapenda tutie kwa kichaJumanne Kasonso
Mungu awa bariki watu wa munguSylivanus Nyitwe
NimebarikiwaImanuel Byamungu
Tuendelee kuhimiza vijana wawe wanaenda kanisaniIbrahim Kilamlya
Tuishi katika misingi ya IMANI.Michael Lashau
AminaDonata Musa
Sala ya baba yetu imenifuza mengi utakalo lifanyike dunianiEdward Kilya
Imani yetu ndo itakayotuponya..Kamgisha Elipidius
Mungu kupitia sala hii naomba uniondolee mabaya yote kweye familia yangu muokoe na mateso mke wangu mjalie kumpatia furaha na majibu ya maswali yake anayojiuliza kisha vunja maagano yote aliyonenewa.bwana sikia maombi yanguIngia utoe maoni