KUMBUKUMBU YA MT. AUGUSTINO
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
2The. 2:1 – 3, 14 – 17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 96:10 – 13Bwana anakuja aihukumu nchi.
Semeni katika mataifa, Bwana ametamalaki,
Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike,
Atawahukumu watu kwa adili.
K. Bwana anakuja aihukumu nchi.
Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie,
Bahari na ivume na vyote viijazavyo.
Mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo,
Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha;
Mbele za Bwana, kwa maana anakuja.
Kwa maana anakuja aihukumu nchi.
K. Bwana anakuja aihukumu nchi.
Atahukumu ulimwengu kwa haki,
Na mataifa kwa uaminifu wake.
K. Bwana anakuja aihukumu nchi.
Shangilio la Injili
Lk. 8:15Wanabarikiwa wale ambao kwa unyofu na wema wa mioyo yao hulisikia neno la Mungu, na kulishika.
Aleluya.
Injili
Mt. 25:23 – 26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni