Ijumaa ya 16 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yer. 3:14–17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Yer. 31:10–13Bwana anatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Lisikieni neno la Bwana, enyi mataifa,
Litangazeni visiwani mbali,
Mkaseme: Aliyemtawanya Israeli atamkusanya,
Na kumlinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
K. Bwana anatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Kwa maana Bwana amemweka huru Yakobo,
Amemkomboa mkononi mwake aliyekuwa hodari kuliko yeye.
Nao watakuja na kuimba katika mlima Sayuni,
Wataukimbilia wema wa Bwana, nafaka, na divai,
Na mafuta, na wachanga wa kondoo na wa ng’ombe.
K. Bwana anatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Ndipo bikira atafurahi katika kucheza,
Na vijana na wazee pamoja,
Maana nitageuza masikitiko yao kuwa furaha,
Nami nitawafariji
Na kuwafurahisha waache huzuni yao.
K. Bwana anatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Shangilio la Injili
Mt. 11:25Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya.
Injili
Mt. 13:18–23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni