Jumanne ya 14 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hos. 8:4 – 7, 11 – 13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 115:3 – 10Enyi Israeli, mtumainini Bwana.
Mungu wetu yuko mbinguni,
Alitakalo lote amelitenda.
Sanamu zao ni fedha na dhahabu,
Kazi ya mikono ya wanadamu.
K. Enyi Israeli, mtumainini Bwana.
Zina vinywa lakini hazisemi,
Zina macho lakini hazioni,
Zina masikio lakini hazisikii,
Zina pua lakini hazisikii harufu.
K. Enyi Israeli, mtumainini Bwana.
Mikono lakini hazishiki, miguu lakini haziendi,
Wala hazitoi sauti kwa koo zake.
Wazifanyao watafanana nazo,
Kila mmoja anayezitumainia.
K. Enyi Israeli, mtumainini Bwana.
Enyi Israeli, mtumaini Bwana;
Yeye ni msaada wao na ngao yao;
Enyi mlango wa Haruni, mtumainini Bwana;
Yeye ni msaada wao na ngao yao.
K. Enyi Israeli, mtumainini Bwana.
Shangilio la Injili
Efe. 1:7, 18Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, awape roho ya hekima mjue tumaini la mwito wake.
Aleluya.
Injili
Mt. 9:32 – 39Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni