Jumamosi ya 13 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Amo. 9:11 – 15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 85:8, 10 – 13Bwana anawaambia watu wake amani.
Nisikie atakavyosema Mungu Bwana,
maana atawaambia watu wake amani.
Naam, na watauwa wake pia.
Bali wasiurudie upumbavu tena.
K. Bwana anawaambia watu wake amani.
Fadhili na kweli zimekutana,
haki na amani zimebusiana.
Kweli imechipuka katika nchi,
haki imechungulia kutoka mbinguni.
K. Bwana anawaambia watu wake amani.
Naam, Bwana atatoa kilicho chema,
na nchi itatoa mazao yake.
Haki itakwenda mbele zake,
nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
K. Bwana anawaambia watu wake amani.
Shangilio la Injili
Mt. 11:25Nashukuru Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya.
Injili
Mt. 9:14 – 17Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni