Dominika ya 11 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Eze. 17 :22-24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 9 2 :1 -2 ,12 -15Ni neno jema kumshukuru Bwana.
Ni neno jema kumshukuru Bwana,
Na kuliimba jina lako, Ee Uliye juu.
Kuzitangaza rehema zako asubuhi,
Na uaminifu wako wakati wa usiku.
K. Ni neno jema kumshukuru Bwana.
Mwenye haki atasitawi kama mtende,
Atakua kama mwerezi wa Lebanoni.
Waliopandwa katika nyumba ya Bwana
Watasitawi katika nyua za Mungu wetu.
K. Ni neno jema kumshukuru Bwana.
Watazaa matunda hadi wakati wa uzee,
Watajaa utomvu, watakuwa na ubichi.
Watangaze ya kuwa Bwana ni mwenye adili.
Mwamba wangu, ndani yake hamna udhalimu.
K. Ni neno jema kumshukuru Bwana.
Somo la Pili
2 Kor. 5 :6-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn. 6 : 63, 68Bwana, maneno yako ni roho tena ni uzima.
Aleluya.
Injili
Mk. 4 :26-34Akasema, Tuulinganishe na nini ufalme wa Mungu? au tuutie katika mfano gani? Ni kama punje ya haradali, ambayo ipandwapo katika nchi, ingawa ni ndogo kuliko mbegu zote zilizo katika nchi, lakini ikiisha kupandwa hukua, ikawa kubwa kuliko miti yote ya mboga, ikafanya matawi makubwa; hata ndege wa angani waweza kukaa chini ya uvuli wake.
Kwa mifano mingi ya namna hii alikuwa akisema nao neno lake, kwa kadiri walivyoweza kulisikia; wala pasipo mfano hakusema nao; lakini akawaeleza wanafunzi wake mwenyewe mambo vote kwa faragha.
Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni