Jumamosi ya 5 ya Pasaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 16:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 100:1-3, 5Mfanyieni Bwana shangwe. dunia yote.
Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;
Mtumikieni Bwana kwa furaha;
Njoni mbele zake kwa kuimba;
K. Mfanyieni Bwana shangwe. dunia yote.
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake;
Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
K. Mfanyieni Bwana shangwe. dunia yote.
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema;
Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
K. Mfanyieni Bwana shangwe. dunia yote.
Injili
Yn 15:18-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni