JUMAPILI YA 2 MWAKA
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Isa. 62:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 95:1-3, 7-10Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Mwimbieni Bwana, nchi yote.
Mwimbieni Bwana, libarikini jina lake.
Tanagazeni wokovu wake siku kwa siku,
Wahubirini mataifa habari za utukufu wake,
Na watu wote habari za maajabu yake.
Mpeni Bwana, enyi jamaa za watu,
Mpeni Bwana utukufu na nguvu.
Mpeni Bwana utukufu wa jina lake.
Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu,
Tetemekeni mbele zake, nchi yote.
Semeni katika mataifa, Bwana ametamalaki;
Atawahukumu watu kwa adili.
Somo la Pili
1Kor. 12:4-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Injili
Yn. 2:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni