Jumatano ya 5 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Dan 3:14-20, 24-25, 28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Dan 3:52-56Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
Umehimidiwa, Ee Bwana, Mungu wa baba zetu,
wastahili kusifiwa na kuadhimishwa milele.
Limehimidiwa jina lako takatifu, tukufu,
Lastahili kusifiwa na kuadhimishwa milele
K. Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
Umehimidiwa katika hekalu la fahari yako takatifu,
wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
K. Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
Umehimidiwa juu ya kiti cha ufalme wako,
wastahili kusifiwa na kuadhimishwa milele
K. Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
Umehimidiwa utazamaye vilindi, uketiye juu ya makerubi,
wastahili kusifiwa na kuadhimishwa milele
K. Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
Umehimidiwa katika anga la mbinguni,
wastahili kusifiwa na kuadhimishwa milele
K. Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
Injili
Yn 8:31-42Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni