Sherehe ya Mt. Yosefu Mume wa Bikira Maria
· Mwaka B
Somo la Kwanza
2 Sam 7:4-5, 12-14, 16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 89:1-4, 26, 28Wazao wake watamudu milele.
Fadhili za Bwana nitaziimba milele;
Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Maana nimesema, Fadhili zitajengwa milele;
Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
K. Wazao wake watamudu milele.
Nimefanya agano na mteule wangu,
Nimemuapia Daudi, mtumishi wangu.
Wazao wako nitawafanya imara milele,
Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele.
K. Wazao wake watamudu milele.
Yeye ataniita, Wewe baba yangu,
Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu.
Hata milele nitamwekea fadhili zangu,
Na agano langu litafanyika amini kwake.
K. Wazao wake watamudu milele.
Somo la Pili
Rum 4:13, 16-18, 22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Injili
Mt 1:16, 18-21, 24Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni