Jumamosi ya 3 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hos. 5:15-6:6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 51:1-2, 16-19Ninavyotaka ni fadhili, si sadaka.
Ee Mungu, unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase dhambi zangu.
K. Ninavyotaka ni fadhili, si sadaka.
Maana hupendezwi na dhabihu, au ningeitoa,
Wewe huridhii sadaka ya kuteketezwa.
Dhabihu za MUngu ni roho iliyovunjika;
Moyo uliovunjika na kupondeka,
Ee Mungu, hutaudharau.
K. Ninavyotaka ni fadhili, si sadaka.
Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako,
Uzijenge kuta za Yerusalemu.
Ndipo utakapopendezwa na dhabihu za haki,
Na sadaka za kuteketezwa, na kafara.
K. Ninavyotaka ni fadhili, si sadaka.
Shangilio la Injili
Eze. 18:3Injili
Lk. 18:9-14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni