Ijumaa ya pili ya Pasaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo 5:34-42Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 27:1, 4, 13-14Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani?
Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani?
(K)Neno moja nimelitaka kwa Bwana, Nikae nyumbani mwa Bwana.
Neno Moja nimelitaka kwa Bwana, Nalo ndilo nitakalolitafuta,
Nikae nyumbani mwa Bwana Siku zote za maisha yangu,
Niutazame uzuri wa Bwana, Na kutafakari hekaluni mwake.
(K)Neno moja nimelitaka kwa Bwana, Nikae nyumbani mwa Bwana.
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana Katika nchi ya walio hai.
Umngoje Bwana, uwe hodari, Upige moyo konde, naam, umngoje Bwana.
(K)Neno moja nimelitaka kwa Bwana, Nikae nyumbani mwa Bwana.
Injili
Yn 6:1-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni