Jumatano ya 1 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yon 3:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 51:1-2, 10-11, 16-17Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu hutaudharau.
Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.
K. Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu hutaudharau.
Ee Mungu, uniumbie moyo safi,
Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu
Usinitenge na uso wako,
Wala roho yako mtakatifu usiniondolee.
K. Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu hutaudharau.
Maana hupendezwi na dhabihu, au ningeitoa,
Wewe huridhii sadaka ya kuteketezwa.
Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika;
Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.
K. Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu hutaudharau.
Shangilio la Injili
Eze. 18:31Injili
Lk 11:29-32Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni